
Floras wear ni blog mpya kwa ajili ya mwanadada Flora Laanyuni. Blog hii inahusika na utangazaji wa bidhaa mbalimbali zinazopatikana kwa flora ambazo ni pamoja na vitenge vya aina mbalimbali, viatu pamoja na wallets. Aidha, kadri siku zinavyosonga mbele tutaanza kukuonyesha bidhaa za t-shirt ambazo ni printed ones pamoja na nguo za watoto na viatu. Karibu sana Florawear au florahclassic tukuhudumie. HUTAJUTA KUNUNUA BIDHAA KUTOKA KWETU.